Mastaa maarufu nchini Marekani Beyonce na Jay Z wanaripotiwa wako mbioni kuhamia nchini Ufaransa ambapo wanatarajiwa kupata mtoto wa pili wakiwa huko.
Wawili hawa ambao walianza familia na mtoto wao wa kwanza Blue Ivy mwaka wa 2012 inasemekana wamependezwa sana na tamaduni za Ufaransa kiasi cha kuwa sahizi wanataka kuenjoy miezi 12 katika maisha ya kifaransa.
Kulingana na chanzo karibu na wawili hawa kinadai kuwa:
Beyonce anapangaa kuchopekwa mimba akiwa nchini humo, yaani mtoto wao wa pili aweze kuzaliwa akiwa nchini Ufaransa.
Pia chanzo kiliongeza kuwa Beyonce anajaribu kukwepa stress nyingi ambazo anaweza kukumbana wakati wa uja uzito wake.
Well congrats kwa Beyonce na Jay Z.....anyway, mbona wasanii wengi wa Marekani hupendelea Ufaransa kwa mambo yao ya kifamilia? Well maybe Kim Kardashian anajua mpango mzima wa nchi hio.
Beyonce Na Jay Z Kuhamia Nchini Ufaransa, Wapanga Kupata Mtoto Wa Pili Nchini Humo
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano