Staa anayefahamika kwa umbo lake tata Corazon Kwamboka finally amepata ajira.
Kulingana na runinga ya Kenya inayofahamika kama EBRU TV, Corazon Kwamboka atakuwa katika kipindi kiitwacho 'Choices' ambacho kina paniwa kuwa kipindi ambacho ni mfanano wa 'Tujuane' ama 'Bachelor/Bachelorette' ambapo mtu anakuwa na dates na wanaume/wanawake kadhaa hadi kumchagua yule ambaye yuko sawa kwake.
Kulingana na producer wa shoo hio amedai kuwa kazi ya kipindi hicho ni changa na bado haijakuwa officially airtime yake itakuwa wakati gani...
Cha muhimu ni kuwa sasa mafans wa Corazon Kwambokamwatakuwa na tabasamu nyinginwakati watakapomuona staa wao kwa runinga kila uchao...hivi kuwa na makalio makubwa kwa wanawake ni mauzo?

Corazon Kwamboka Apata Ajira Kwa Runinga ...Kumbe Makalio Makubwa Huleta Kipato!!!
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 25, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano