Helikopta ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa jana katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyopo Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo nchini.
Uzinduzi huo pia uliohudhuriwa na Mbuge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye alikuwa ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo ulioendana na kukata utepe kisha kuirusha helikopta hiyo hewani kama ishara ya kuanza rasmi kazi yake ambayo ni kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo.
(Picha/ Shani Ramadhani na Chande Abdallah).

Helikopta Ya Mchungaji Gwajima Yazinduliwa Rasmi...Cheki Picha Za Tukio Hilo
Reviewed by Admin
on
Monday, November 10, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano