Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ambaye aliripotiwa kuondoka katika kundi maarufu la Bongo Movie Unity, anadaiwa kutaka kurejea kundini baada ya kuona anakosa madili.
Chanzo kilicho karibu na msanii huyo kimesema maisha mazuri aliyokuwa akiishi ndani ya kundi hilo, kwa kupata mishemishe za kila mara, ndizo hasa zinazomfanya atake kurejea. Lakini nyota huyo alipozungumza na chanzo, alishangazwa na habari hizo na kudai kuwa anasikia juu ya suala hilo, lakini siyo kweli, kwani pamoja na ukweli kwamba yeye aligombana na mtu mmoja tu Bongo Movie, bado hawezi kutaka kurudi kwa vile yeye kama mjasiriamali, ana vitu vingi vya kufanya.

Cathy Adaiwa Kutaka Kurudi Bongo Movies
Reviewed by Admin
on
Wednesday, November 19, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano