Unordered List

Definition List

IMETISHA!!!: Picha Za Mashoga Kenya Zasambaa Baada Ya Krismasi

Huku watu walipokuwa wakisherehekea siku ya Krismasi, kuna wengine walikuwa wakisherehekea kimtindo wao.

Nairobi, huku watu walipokuwa wakisherehekea krismasi, vijana mashoga/wasenge walijiunga na kujitengezea sherehe yao kivyao huku wakifanya mambo ya kilaana.

Kulingana na utafiti uliofanywa jijini Nairobi, inaaminika kati ya wanaume 10, wanaume 3 aidha ni mashoga, ama wanatabia za kishoga wakati mmoja au mwengine.

Nchi ya Kenya hairuhusu mambo hayo lakini mashoga hao wanatumia ujanja wao na mbinu zote ili kuhakikisha kuwa wanaukwepa mkono wa sheria.

Mambo haya yanazidi kuendelea na kukua kila uchao. Hizi maajuzi mapasta walishirikiana kufungua kanisa la mashoga jijini mumo humo.

Picha zilizotumwa kwa mtandao wa bkuHABARI na wadaku wetuzimeonyesha mambo ya kusikitisha zikionyesha wanaume wakijihusisha na mambo ya wasenge.

Like page yetu ya Facebook upate stori zadi >>HAPA<<

Hebu zicheki hapa chini:

IMETISHA!!!: Picha Za Mashoga Kenya Zasambaa Baada Ya Krismasi IMETISHA!!!: Picha Za Mashoga Kenya Zasambaa Baada Ya Krismasi Reviewed by Admin on Sunday, December 29, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.