Unordered List

Definition List

Eminem, Rihanna 'Monster' Imetisha!!!(VIDEO)

Rihanna na Eminem wamerudi tena kwa video nyingine ya 'Monster'.

Riri na Eminem washawahi kutoa video ya pamoja ya 'I Love The Way You Lie' lakini mafans hawakuipendelea sana na walisema kuwa wawili hao hawakuwa na mshikano.

Lakini round hii wametisha!!!

Katika video hii iliyo giza, nyeusi, ya kusumbua na kusisimua wakati mmoja, Riri na Eminem wanaeleza uhusiano wao wa kimapenzi na mashetani yao huku wakitumia nguvu, misisimko ya kimapenzi na zaidi.

Hebu itizame mwenyewe hapo chini kwa sababu siwezi kukueleza yote....yaani ni kali saaana!!

Eminem, Rihanna 'Monster' Imetisha!!!(VIDEO) Eminem, Rihanna 'Monster' Imetisha!!!(VIDEO) Reviewed by Admin on Wednesday, December 18, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.