Unordered List

Definition List

Mdogo Wake Kim Aonyesha Maungo Yake Instagram, Wajua Ameahidiwa Nini?

Dadake Kim Kardashian Kendall Jenner alitimia miaka 18 tarehe 3 Novemba na wajua aliamua kufanya nini kusisimua mafans wake?...aliweka picha akiyaonyesha mabega yake kwa instagram.

Pia star huyu wa 'Keeping Up With The Kardashian' amepewa ofa na kampuni kadhaa zilizopo Amerika ili kutoa filamu za ngono,,,hiyo si shida kwani ametimia miaka 18 na akikubali tu atapewa takriban dola 1.8 milioni.

Najua hilo ni jambo gumu kwetu afrika lakini Amerika nafasi kama hio si rahisi kuachwa.

Hebu tazama hio picha yake hapa:

Mdogo Wake Kim Aonyesha Maungo Yake Instagram, Wajua Ameahidiwa Nini? Mdogo Wake Kim Aonyesha Maungo Yake Instagram, Wajua Ameahidiwa Nini? Reviewed by Admin on Tuesday, November 05, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.