Msanii Katy Perry kwa mara ya kwanza ameweza kumshinda Justin Bieber kwa wafuasi katika mtandao wa Twitter.
Kulingana na takwimu za Jumatatu, star huyu wa nyimbo aina za 'pop' aliweza kuwa na wafuasi 46,534,966.
Mwanamziki huyu anajulikana kwa nyimbo yake mpya ya 'Roar' na nyingine kama vile 'California Gurls', 'Last Friday Night' na 'I Kissed A Girl'.
Justin Bieber kwa sasa yuko nambari ya pili akiwa na wafuasi 46,510,838.
Blog nyingi ziliona kuwa Katy atachukua nambari ya kwanza kuanzia siku ya Jumapili na inatarajiwa kuwa atakuwa wa kwanza kupata mashabiki 50,000,000.
Bieber wikendi iliyopita alikuwa na shughuli nyingi nchini Brazil huku akikumbwa na visanga kadhaa vikiwemo kupigwa kwa chupa na kuonekana akitoka katika jumba la makahaba. Katy hajawahi kuweka post yake mpya ya Twitter tangu siku ya 31 Oktoba.
Mwezi wa Januari Lady Gaga aliweza kushindwa na Justin Bieber, sasa Bieber ameshindwa na Katy Perry. Haijulikani nani mwingine atachukua nafasi ya kwanza.

Katy Perry Atajwa Malkia Wa Twitter Baada Ya Kumpiku Justin Bieber Kwa Wafuasi
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 05, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano