Justin Bieber ameachilia nyimbo nyingine mpya kwa msurur wake wa #Musicmonday na ameamua kuchagua jina ambalo linawiana na misukosuko anayoipitia msanii huyu wikli iliyopita.
Wiki iliyopita ilikuwa mbaya kwa msanii huyu ndipo akaamua kutaja nyimbo yake mpya "All Bad"
Wiki iliyotangulia tulimuona Justin akiiba baisiketi na kufukuzwa na walinzi, ameshtakiwa na kosa la kuchora ukuta wakati alipokuwa nchini Brazil, na pia video iliyotoka ambayo alionyeshwa yeye akiwa amelala na malaya.
Lakini wiki hii mpya, mambo mapya, Bieber ametuachilia ngoma mpya kabisa.
Isikilize hapa chini:

Justin Bieber - All Bad
Reviewed by Admin
on
Monday, November 11, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano