Lakini mbona Lulu aliukataa mshiko wa Diamond?
Jibu rahisi, Diamond ni msanii anayependa wanawake ovyo, msanii asiyeeleweka mambo yake, mara anasemakana amefanya hivi kumbe sivyo. Hivi juzi tu Diamond alijishasha kuwa alikuwa msanii wa pekee aliyealikwa katika harusi ya Peter wa P-Square lakini kumbe ilikuwa uwongo mtupu kwani aliaibishwa na mastaa hao wawili kuwa hawamfahamu Diamond ni nani.
Kitu kingine Lulu atakuwa amemkataa Diamond ni kwa sababu ya skendo nyingi kati yake, Wema na Penny.
Lulu mwache aishi vile atakavyo yeye wala asitiwe usumbufu kwa sababu yeye bado mdogo sana na ana muda mrefu wa kuchagua amtakae...labda Justin Bieber hivi kwa sababu tayari ashakiri pendo lake kwa Justin Bieber. Ndoto yake itatimia kweli.
Cheki picha za Lulu mpya hapa akiwa amevalia nyeupe na nywele style mpya.>>>HAPA<<
Sababu Za Lulu Kumkataa Diamond Platinumz
Reviewed by Admin
on
Friday, November 29, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano