Unordered List

Definition List

Husna Idd na Maimartha Wanaswa Kwa Picha Wakiangaliana Nani Anamakalio Makubwa

MWIGIZAJI Husna Idd ‘Sajent’ na mtangazaji
maarufu Bongo, Maimartha Jesse wamenaswa
wakishindana ukubwa wa makalio yao wakiwa
wamelala kitandani.
Tukio hilo lililowashangaza wadau, lilitokea
hivi karibuni wakati mastaa hao walipokuwa
wanarekodi moja ya vipindi vya washiriki wa
Shindano la Vigori katika Hoteli ya Kebbys
Mwenge jijini Dar.
“Jamani mimi ninalo (wowowo) kuliko wewe,
ukubwa dawa mimi na wewe wapi kwa wapi
Sajent?” alisikika Maimartha.
Husna Idd na Maimartha Wanaswa Kwa Picha Wakiangaliana Nani Anamakalio Makubwa Husna Idd na Maimartha Wanaswa Kwa Picha Wakiangaliana Nani Anamakalio Makubwa Reviewed by Admin on Monday, November 04, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.