Diamond na Peter wa P-squre |
Nchini humo alipata mualiko hususan wa kuwa katika harusi ya msanii mmoja ya p-square Peter.
Diamond inakisiwa kuwa ni mtanzania pekee aliyeweza kupewa mwaliko huo katika hio harusi.
Amevuka mipaka!!!
Katika remix hio amemuhusisha msanii Davido wa Nigeria.
Cheki hizo picha na mastar wengine kama vile Adebayo, mchezaji wa Man City
Diamond na Iyana |
Akiwa na Adebayo |
Diamond Katika Harusi Ya Peter Wa P-Squre
Reviewed by Admin
on
Monday, November 18, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano