Wikendi iliyopita ilikuwa na kizaazaa baada ya timu ya Arsenal kufungwa na Manchester united.
Nchini Uganda kulikuwa na shabiki mmoja aliyelazimishwa kuihama nyumba yake na kuishi nje baada ya timu yake kushindwa.
Vioja havikuishia hapo kwani pia nchini Kenya kulikuwa na vioja vingine.
Mjini Kisumu, kulikuwa na drama wakati jamaa mmoja alilazimishwa kumuangaliwa mkewe akiliwa uroda mbele ya umati.
Jamaa huyo kwa jina Erastus, aliaminika kupeana ahadi na shabiki wa Manchester kwa jina Gordon ambapo waliahidiana kuwa yule atakayeshinda mechi basi atalala na mkewe hadharani, wake zao walijulishwa kabda tukio hilo.
Haikuwa na budi ila alikubali kuangalia rafiki yake akimenya tunda la mkewe huku akiangalia kwa macho.
Hasara ilioje!

Shabiki Wa Arsenal Alazimishwa Kuangalia Bibi Yake Akiliwa Uroda Na Mwenziwe
Reviewed by Admin
on
Monday, November 18, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano