Jambo hili limemfanya Kim mwenyewe kupiga picha na kuonyesha maungo yake. Hili ni onyo kwa madada hao wawili kuwa yeye ndio bingwa wa kupiga picha na hayuko tayari kushindwa na yeyote.
Picha hii mpya ya Kim aliipiga siku ya Jumatatu kupitia Instagram na ilikuwa na maneno haya:
"Work Day". Hii inaashiria kuwa mtoto wa Kim, North West anampeleka mbio si haba.
Kila mtu anajua kuwa Kim aligonga vichwa vya habari wiki chache zilizopita kwa kuweka picha nusu uchi akiwa amevalia bikini na pia kumfanya Kanye West ampigie magoti kutaka kumuoa.
Haijulikani Kanye atachukua hatua ipi baada ya kuiona picha hii.
Kim Aweka Picha Nyingine Mpya Kuonyesha Bado Yupo Kwa Gemu
Reviewed by Admin
on
Wednesday, November 06, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano