Unordered List

Definition List

Video Ya Utata Pale Kim Kardashian Apokuwa Akijifungua

Kama wewe ni fan wa 'Keeping Up With The Kardashian' ambacho ni kipindi kinachopeperushwa katika runinga ya E! ama kama wewe ni shabiki wa Kim Kardashian basi ona video ambayo ilikuwa ya utata pale ambapo star Kim alipokuwa akijifungua mtoto wa Kanye, North West. Tukio hili lilitokea juni 15.

Video hii ya kionjo itawekwa wazi kwa mara ya kwanza katika runinga ya E! wiki inayokuja Jumapili 27 Oktoba.

Kuwa wa kwanza kuitizama hapa:

Video Ya Utata Pale Kim Kardashian Apokuwa Akijifungua Video Ya Utata Pale Kim Kardashian Apokuwa Akijifungua Reviewed by Admin on Monday, October 21, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.