Unordered List

Definition List

Ray C Awapima Mashabiki Wake Imani Kwa Huonyesha Sehemu Zake Za Mwili

Hivi majuzi tu mwanamuziki Ray C aliapa ya kuwa ataachana na maovu na kumrudia muumba wake. Msanii huyu ambaye amejihusisha sana na utumiaji wa dawa za kulevya alisema kuwa ataachana na matumizi ya dawa ya kulevya na kusema kuwa ataokoka. Lakini juzi tu aliingia katika mtandao wa instagram na kuyaonyesha mapaja yake kwa mafans wake. 

Hivi haijulikani kama ameanza polepole kuigiza mienendo ya wasanii ambao wanapozi mbele ya kamera uchi au la. Mashabiki wake walimponda kwa tukio hilo la kuweka picha hio.

Ray C Awapima Mashabiki Wake Imani Kwa Huonyesha Sehemu Zake Za Mwili Ray C Awapima Mashabiki Wake Imani Kwa Huonyesha Sehemu Zake Za Mwili Reviewed by Admin on Thursday, October 10, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.