Msanii huyu maarufu katika rap music nchini Marekani na ulimwengu mzima aliingia katika usanii na wasanii kama vile Dr. Dre.
Jina hilo la Snoop Dogg alilitumia kwa miaka mingi katika rap lakini hivi maajuzi mwaka huu alilibadilisha likawa Snoop Lion na kuanza kuimba nyimbo za Reggae. Jina hilo alilitumia ili kuuza album yake ya 2013 LP 'Reincarnated."
Lakini sahizi mafans wake itabidi wasahau majina yote mawili kwani sahizi jina lake rasmi ni...Snoopzilla!
Msanii huyu ameamua kutumia jina hili jipya kuanzia wiki hii ili kupromote album yake mpya inayokuja inayotwa '7 Days of Funk."
Snoop ni msanii wa miaka 41 na amekuwa katika industy ya mziki zaidi ya karne moja. Alisema jina lake jipya ni makumbusho kwa msanii aliyetajika wakati wa siku ake Bootsy Collins, ambaye kuna wakati alijiita Bootzilla.
Haya majina anayoyatumia yote ni makali. Katika majina hayo matatu gani umeliona lavutia?

Snoop Dogg Abadilisha Jina. Sasa Anaitwa...
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 19, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano