Unordered List

Kim Kardashian Atuonyesha Pete Yake Nzito Ya Uchumba Aliyopewa Na Kanye West

Definition List

Kim Kardashian ameanza kukumbuka nyakati zake za zamani kabla hajafanya ndoa na Kanye West.

Hii ni baada ya siku ya jana asubuhi kurusha picha ya pete yake kubwa ya almasi yenye uzani wa carat 15 (gramu 3) aliyopewa na Kanye West wakati alipomchumbia mwaka jana.

Katika hio picha aliambatanisha maneno (#goodmorning).

Kim alifunga ndoa na Kanye West mwezi Mei na pete yake hio ya awali ya almasi aliibadilisha na kwa sasa anavalia pete nyingine ya dhahabu aliyovishwa baada ya kusema: ''YE' I DO!''
Kim Kardashian Atuonyesha Pete Yake Nzito Ya Uchumba Aliyopewa Na Kanye West Kim Kardashian Atuonyesha Pete Yake Nzito Ya Uchumba Aliyopewa Na Kanye West Reviewed by Admin on Monday, July 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.