Rais wa rap nchini Kenya CMB Prezzo anafahamika kuwa staa ambaye anapenda sana kuonyesha uwezo wake wa kifedha kuanzia kuonyesha pete za dhahabu, kuonyesha gari jipya la kifahari, kuwanyeshea pesa machangudoa, na mambo mengi yasiyokuwa na mwisho.
Well roundi hii Prezzo ameamua kuonyesha picha Instagram ikionyesha girlfriend wake kibongo Chaggabarbie
Chepi picha yenyewe
Prezzo aliambatanisha haya maneno: My ride or die! #AngelEyes #Rapcellency #WeTrulyUnruly
Prezzo Aonyesha Picha Ya Mpenzi Wake Akishikilia Bunduki
Reviewed by Admin
on
Sunday, July 20, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano