Askari maarufu nchini Kenya na ambaye alimake headlines kwa vyombo vya habari kwa muda mrefu finally amechumbiwa.
Kulingana na chanzo cha karibu cha mwanadada huyu kinadai kuwa Linda alisema 'i do' wikendi iliopita, katika harusi ambayo waliitaka iwe fiche kwa vyombo vya habari.
Linda Okello aliweza kuwa maarufu nchini Kenya baada ya kupigwa picha akiwa amevalia minisketi iliyombana makalio akiwa kazini.
Askari Linda Okello, Mdada Mwenye Umbo Maarufu Kenya Afanya Ndoa Kisiri
Reviewed by Admin
on
Tuesday, July 29, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano