Unordered List

Kim Kardashian aKonfirm Kuwa North West Amechukua Hatua Ya Kwanza

Definition List

Kwa mashabiki wote wanaofuatilia miondoko ya familia maarufu zaidi ulimwenguni ya Kardashian, Kim ameweka wazi kuwa Nori West amechukua hatua zaje za kwanza za kutembea.

Kupitia Instagram Kim alirusha picha akimbusu North West na kuambatanisha haya maneno:
Our baby girl finished one week of swimming lessons today then took her 1st steps right when she got out of the pool!!!! Mommy & Daddy are so proud of you!!!!

Ok congrats kwa Nori kwa kuchukua hatua muhimu maishani mwake.

Muda huu Kim na Kanye wako likizo nchini Mexico. Kanye West yuko mbioni kutengeneza albamu mpya na kama kawa Kim akipunga upepo na jua ndani ya bikini.
Kim Kardashian aKonfirm Kuwa North West Amechukua Hatua Ya Kwanza Kim Kardashian aKonfirm Kuwa North West Amechukua Hatua Ya Kwanza Reviewed by Admin on Thursday, July 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.