




BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali
ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.
Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.
Sarakasi Kutoka Brazil Baada Ya Team_Brazil Kufungwa Kama Watoto
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Wednesday, July 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano