Mwaka wa 1839, Robert Cornelius aliweka historia ya kuwa mtu wa kwanza kabisa kupiga picha ya selfie (pinafsi)
Kulingana na nyakati hizo, kupiga picha moja itakuchukua muda wa dakika 3 hadi 15 kulingana na mwangaza wa kupiga picha.
Sahizi kuna mitindo kadhaa ya kujipiga pinafsi huku kila siku watu wakipost pinafsi zao kwa mitandao kila kukicha.
Katika historia, picha iliyopewa likes nyingi zaidi kwa mtandao ni ile ya Ellen DeGeneres akiwahusisha mastaa kama vile Lupita Nyong'o, Brad Pitt na wengine wengi.

Hii Ndio Selfie (Pinafsi) Ya Kwanza Duniani
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Tuesday, July 08, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano