Diamond siku ya leo 30/7 ameweza kuuchangamza umati wakati walipoenda kumpokea ujio wake kutoka nchini Marekani Texas.
Diamond Platnumz akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mara baada
ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi
(30.7.2014) kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora
wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.
Diamond:
Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo
nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri
zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!"
Picha: Diamond Awasili Na Vishindo Kutoka Marekani
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Wednesday, July 30, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano