Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Apiga Picha Uchi, Aonyesha Chuchu

Mwanamziki Miley Cyrus anajulikana sana kwa vioja haswa baada ya kutoa video yake mpya alipopiga picha akionyesha uchi wake. Wengi walimkashifu kwa jambo hilo lakini mwanamziki huyu hatoacha hapo.Mwanamziki huyu anajulikana zaidi kwa kipindi alichoigiza cha runinga Hanna Montanna.

Sinead O' Connor alijikakamua na kumwambia Cyrus awe anajiangalia vile anavyovaa nguo lakini hakufua dafu. Huyu mwanamziki anayesifika kwa nyimbo yake mpya ya 'Wrecking Ball' aliamua kumjibu O' Connor kwa kumgusia kuhusu ugonjwa wake wa akili aliopitia kihistoria na kuonyesha picha zake alizopigwa na Terry Richardson.

Najua hizo picha haziridhishi kamwe, na wala si salama kuziangalia ukiwa kazini wala nyumbani, zahitaji moyo

Hizo picha alizozitoa kwa uma zinaonyesha Miley Cyrus akionyesha chuchu zake kwa kuzizuia kwa mkono na pia kupiga picha kuonyesha sehemu zake za chini kwa kuziziba na mkebe wa majani chai huku picha nyingine akijishikashika na kuvuta sigara.

Maajabu ya ulimwengu haya, sijui mbeleni kutakuwaje...maoni yangu naona mbona asiende kupiga picha katika playboy?



Miley Cyrus Apiga Picha Uchi, Aonyesha Chuchu Miley Cyrus Apiga Picha Uchi, Aonyesha Chuchu Reviewed by Admin on Sunday, October 06, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.