Unordered List

Definition List

Kala Jeremiah Atabasamu Kila Aendapo Benki

Kala Jeremiah atakuwa akicheka kila anapoenda benki baada ya kufanya mkataba na kampuni ya Pepsi. Pepsi ni kampuni moja kubwa ulimwenguni ambayo pia imekita mizizi nchini Tanzania kwa kuuza vinywaji.

Kampuni hii imeandika mkataba na Kala Jeremiah kuwa atakuwa balozi wa Pepsi kwa muda wa miezi sita. Rapper huyu ni maarufu sana nchini kwa kucheza nyimbo zake kwa mtindo wa hiphop
Kala Jeremiah Atabasamu Kila Aendapo Benki Kala Jeremiah Atabasamu Kila Aendapo Benki Reviewed by Admin on Wednesday, October 16, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.