Unordered List

Definition List

Lulu Ajichora Tatoo. Ujumbe Awaonyesha Mahasidi Wake


Alhamisi kuamkia Ijumaa lulu aliwaonyesha mashabiki wake tatoo yake mpya iliyoandikwa kwa bega lake la kushoto juu ya kifua. Baada ya kuonyesha tatoo hiyo iliyochorwa 'Only God Can Judge Me' alikuwa na haya ya kusema.

“Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”

Lulu Ajichora Tatoo. Ujumbe Awaonyesha Mahasidi Wake Lulu Ajichora Tatoo. Ujumbe Awaonyesha Mahasidi Wake Reviewed by Admin on Thursday, October 10, 2013 Rating: 5

1 comment:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.