Mbeya. Ifikapo Jumatatu inayokuja mbivu na mbichi itajulikana pindi aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoani Mbeya atakapotoa ushahidi wake kuhusu kesi inayowakabilia wananchi wawili wa Afrika Kusini ambao wameshikwa wakisafirisha mihadarati.
Kesi yao inasemekana wameshikwa wakisafirisha kilo 34 za dawa za kulevya zenye thamani ya takriban TShs1 bilioni. Washukiwa wao wanaojulikana kama Vuyo Jack na Anastazia Cloet wanasemekana kukamatwa November 18,2010 eneo la Tundama wakisafirisha dawa hizo wakitumia gari la usajili CA 508650. Kati ya mashahidi wanane, wanne tayari washatoa ushahidi wao kuhusiana na jambo hili.
Visa vya ulanguzi wa dawa za kulevya zimekidhiri sana nchini na serikali inahitajika kukaza kamba ili kukakibiliana na janga hili ambalo watu wachache walafi wanaojifikiria kujinufaisha wenyewe wako katika mstari wa mbele kuharibu vijana.

Ushahidi Wa Kesi Ya Dawa Za Kulevya Inayogharimu Bilioni Moja Kujulikana
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 06, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano