Unordered List

Definition List

Babake Wema Sepetu Afariki

Habari zinazotufikia katika blog yetu hivi asubuhi ni kuwa babake mzazi msanii Wema Septu ameaga dunia.

Balozi Abraham Issac ameaga dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya TMJ aliyokuwa amelazwa akiuguza ugonjwa wa sukari na kiharusi.

Magonjwa haya aliyapata wakati alipokuwa jijini Zanzibar.

Abraham Issac ni mzazi wa Wema Sepetu na alishawahi kuwa balozi.
babake wema aaga dunia
Wema(kushoto) akiwa na babake(kati) na meneja wake kwa jina Petitman

Kabla kukumbana na mauti Abraham Issac alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya uwekezaji wa vitega uchumi jijini Zanzibar.

Mungu Amuweke Mahala Pema
Babake Wema Sepetu Afariki Babake Wema Sepetu Afariki Reviewed by Admin on Sunday, October 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.