Unordered List

Definition List

Shakira Na Rihanna "Cant Remember To Forget You" Video Ambayo Iko Kali Kuliko Zote

Umeiona video mpya ya Shakira na Rihanna? Kama bado jitayarishe kuangalia the sexiest video ever made.

Video hii imewashirikisha madada hawa wawili kwa mtindo usiokuwa wa kawaida huku ikionyesha wawili hawa wakifanya karibu mahaba.

Video hii imewaonyesha wawili hawa wakiwa kwa kitanda...Shakira akiwa amevalia chupi nyeupe na baadae tukimuona akiwa amevalia nguo ya kuogea....kiufupi hii video imetishaaaa


Shakira - Can't Remember to Forget You ft. Rihanna

Rihanna 25 na Shakira 36 wamedhihirisha kuwa video hapo juu itasisimua wengi...

Baadhi ya picha kutoka video hii:







Shakira Na Rihanna "Cant Remember To Forget You" Video Ambayo Iko Kali Kuliko Zote Shakira Na Rihanna "Cant Remember To Forget You" Video  Ambayo Iko Kali Kuliko Zote Reviewed by Admin on Friday, January 31, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.