Unordered List

Definition List

Rihanna, Shakira, Watoa Nyimbo Mpya. Isikilize Sahizi!

Wanadada wenye maungo ya kuvutia Rihanna na Shakira wametoa nyimbo mpya ya kuanza mwaka kwa mara nyingine baada ya nyimbo ya 'Hips Dont Lie'

Riri na Shakira wametoa nyimbo mpya ya 'Cant Remember to Forget You'

Nyimbo yenyewe ni ya kuvutia, beats zinazosisimua na ni kitu utakuwa ukikitarajia kwa kwa wasanii kama hawa wawili.


Rihanna and Shakira - "Can’t Remember to Forget You"
Rihanna, Shakira, Watoa Nyimbo Mpya. Isikilize Sahizi! Rihanna, Shakira, Watoa Nyimbo Mpya. Isikilize Sahizi! Reviewed by Admin on Tuesday, January 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.