Unordered List

Definition List

LULU MICHAEL ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWA MAMA KANUMBA KIMTINDO

l
Lulu Michael alikuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama Kanumba kimtindo.

Lulu alikuwa mpenzi wa Steven Kanumba wakati alipokuwa yuko hai.

Katika akaunti yake ya Instagram, Lulu aliweza kushare picha yake pamoja na mama Kanumba na ilikuwa na maneno haya:
Ktk maisha yapo yanayokujaga Kama mazuri lkn mwisho unakuwa mbaya,lkn pia yapo yanayokujaga Kama mabaya na mwisho yanakuwa faraja...!Namshukuru Mungu kwa kusimama katikati yetu japo ipo vita kubwa juu yetu...!Mwenye Mungu akuzidishie kheri na miaka mingi ya kuishi duniani!...Happy Birthday MamaHappy Birdhday Mama Kanumba

l1

luliu
LULU MICHAEL ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWA MAMA KANUMBA KIMTINDO LULU MICHAEL ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWA MAMA KANUMBA KIMTINDO Reviewed by Admin on Thursday, January 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.