Unordered List

Definition List

Bongo Movies Imekumbwa Na Msiba, Staa Mmoja Ajitoa Uhai Mwenyewe


MSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie afariki dunia kwa kujinyonga katika gesti moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI JUNIOUR  ilioko maeneo ya Kisosora huko mkoani Tanga.

Hapo pichani ni mwili wa marehemu ulivyokuwa ukipakiwa katika gari kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo,

Chanzo cha habari kiliieleza kuwa msanii huyo alikuwa katika harakati zake za kushoot filamu yake mpya ambayo alicheza kama muhusika mkuu katika filamu hiyo.
Kilichowashangaza wenzake ni kwamba filamu iliisha jana Jumatatu 27/01/2014 na story ilimalizikia Vicktor kufa kwakujinyonga matokeo yake leo alfajiri Victor akakutwa amejinyonga kweli na kuiaga dunia, Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijatambulika.
Bongo Movies Imekumbwa Na Msiba, Staa Mmoja Ajitoa Uhai Mwenyewe Bongo Movies Imekumbwa Na Msiba, Staa Mmoja Ajitoa Uhai Mwenyewe Reviewed by Admin on Wednesday, January 29, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.