Unordered List

Definition List

Tendo La Ngono Litakufanya Uwe Mjanja, Utafiti Waonyesha

Kuna watu watatetea kuwa tendo la ngono ni kama baraka kutoka kwa Mungu, ni dawa ambayo haijawahi kutokea kamwe. Inasemekana kuwa ngono hupunguza mawazo(stress), depression, husaidia kuchoma kaloria mwilini na pia huwa ni furaha kwa wawili wanaopendana. Kuongezea mambo haya yote imebainika kuwa ngono inafanya mtu kuwa mjanja/mwerevu.

Utafiti huu ulifanywa katika familia ya panya na imeibuka kuwa ngono imewafanya kuwa wajanja, na kwa sababu tuna uhusiano wa karibu na familia ya panya, utafiti huo pia unafanya kazi kwa binadamu.

Kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi tofauti kutoka chuo kikuu cha Maryland na Konkuk, Seoul nchini N. Korea, imeonekana kuwa panya hao wameongezeka kipawa cha kufikiria na pia jambo hilo limeongeza 'neurogenesis' (ongezeko la neurons kwa ubongo)

Utafiti umeonyesha kuwa sehemu inayofaidi zaidi kwa tendo la ngono ni sehemu iitwayo 'hippocampus', sehemu inayoweka matukio ya zamani ya kiumbe. Sehemu hii hukuwa na kunawiri.
Kiufupi tunaweza kusema kuwa matendo ya ngono unayoyafurahia ukiwa miaka ya 30 na 40 itasaidia kuongezea mawazo ya matendo ya ngono uliyoyachukia wakati wa miaka ya 20.

Lakini katika utafiti huo kuna mambo ambayo hayakuwa sawa, kuna sehemu fulani ya ubongo ambayo ukuaji wake ulikuwa duni, nayo ni 'ngono ya uongo'. Ngono ya uongo ni kama kuangalia ilamu za pornography kupindukia. Utafiti unaendelea kusema kuwa matukio yote yaliyowekwa kwa kufanya tendo la ngono yatafutika baada ya kuangalia filamu za ngono mno.

Huu ni utafiti sahihi kwani kuna ule msemo kuwa kuangalia filamu za ngono kuna haribu akili, kunakufanya usahau mengi. Kwa hivyo kuangalia porno nyingi kunakufanya uwe na mawazo duni.

Tendo La Ngono Litakufanya Uwe Mjanja, Utafiti Waonyesha Tendo La Ngono Litakufanya Uwe Mjanja, Utafiti Waonyesha Reviewed by Admin on Friday, January 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.