Unordered List

Definition List

FLORAH MVUNGI Kwa Penzi La Wema Na Diamond, Amesemaje?!?

Tangu Diamond na Wema Sepetu kurudiana kwa mara nyingine sasa imekuwa gumzo la mtaa lisilotaka kuisha hivi karibuni.

Kila anaewashabikia mastaa hawa kurudiana amekuwa na mtindo wake wa kuonyesha furaha. Lakini ile iliyozungumzwa sana ni ile ya mafans wa Wema na Diamond kumtusi Penny kwa keki.

Pia mastaa wengine wamejitokeza kukubali mahusiano haya na pia kabla kurudiana rasmi, kulikuwa na mijadala kwa mitandao kuwa Diamond ingekuwa vyema kama angerudiana na Wema Sepetu.

Flora Mvungi kwa kuonyesha furaha yake kwa wawili hawa aliingia kwa akaunti yake ya Instagram na kuweka ile picha iliyosambaa sana ikimuonyesha Wema mikononi mwa Diamond halafu akaweka maneno haya:
‘me na mume wangu tunapendana sana but still tunaipenda sana hii couple iendelee kuwepo.Mungu awajalie mapenzi tele wafike malengo all the best darlings..."

Picha ya Instagram hapo chini.

 

FLORAH MVUNGI Kwa Penzi La Wema Na Diamond, Amesemaje?!? FLORAH MVUNGI Kwa Penzi La Wema Na Diamond, Amesemaje?!? Reviewed by Admin on Sunday, January 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.