Unordered List

Definition List

Lulu Michael Aipa Shikamoo Pombe...

bkuHABARI


Star wa Bongo Movies Lulu Michael, ambaye pia anakisiwa kuwa miongoni mwa wanawake warembo afrika nzima katika tasnia ya filamu, ameipa mkono waburiani utumizi wa vileo.

Kulingana na staa huyu mwenye urembo wa kuvutia amesema kuwa pombe ni chanzo kikuu cha maovu kadika maisha ya binadamu.

Lulu amekiri kuwa tangu atoke gerezani ameamua kuachana na uraibu wa kunywa pombe na yuko radhi kuitwa mshamba kwa jambo hilo.
“Kiukweli nikiiona pombe kuna wakati naipa shikamoo kwani ndiyo kichocheo cha kila baya hapa duniani, watakaoniona mshamba kwa kubadilika kwangu wanione hivyohivyo,” alisema mrembo huyu.

Msanii huyu ambaye yuko katika kipindi cha Nyumba alikuwa mlevi wa kupindukia na kuna wakati mmoja alishawahi kuzidiwa na video katika Maisha Club jijini Dar.
Lulu Michael Aipa Shikamoo Pombe... Lulu Michael Aipa Shikamoo Pombe... Reviewed by Admin on Friday, January 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.