Unordered List

Definition List

HUDDAH MONROE ANATARAJIA MTOTO: ANATAKA APEWE HESHIMA

Huddah Monroe baada ya siku nyingi za kuwadiss wasanii wenzake na kuingia katika skendo za aibu, sasa ameamua kuingia katika mtandao na kuwaomba mafans na mahasimu wake wampe heshima.

Huddah amechukua hatua hio baada ya kufunguka kuwa yuko karibu kuwa mama hivi karibuni.

Katika mitandao, Huddah amebandikwa jina la kimombo 'socialite' kiufupi kiswahili kama malaya vile, soo Huddah ameamua kutaka kujeuza mtazamo huo kwa kila mtu na anaomba apewe heshima yake.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Huddah aliandika kuwa katika mitandao husoma mengi jambo ambalo humfanya yeye kucheka sana na si vyema kuitwa 'socialite, na anataka apewe heshima kwani yuko karibu kujifungua hivi karibuni.


Mtazamo wako ni upi? 
HUDDAH MONROE ANATARAJIA MTOTO: ANATAKA APEWE HESHIMA HUDDAH MONROE ANATARAJIA MTOTO: ANATAKA APEWE HESHIMA Reviewed by Admin on Tuesday, January 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.