Unordered List

Definition List

Diamond Platinumzs, Davido My Number One Remix (VIDEO)

Video ya nyimbo ya Diamond Platinumz ya My Number One Remix imeziduliwa rasmi.

Kwa muda sasa wengi walikuwa wakiingojea kwa hamu huku ikikisiwa kuwa itakuwa video nyingine bomba baada ya My Number One yenyewe.

Video hii mpya ilifanywa nchini Nigeria huku Diamond akimshirikisha Davido.

Psss katika video hii msanii Diamond ameonekana amevalia kile kiguo chake ambacho kilifanya kicheko kikuu kwa mitandao nchini Nigeria.

Hebu tazama video yenyewe hapo chini:


Diamond Platinumzs, Davido My Number One Remix (VIDEO) Diamond Platinumzs, Davido My Number One Remix (VIDEO) Reviewed by Admin on Tuesday, January 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.