Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz: Dar Mpaka Kenya (PICHA)


Diamond muda huu yuko jijini Kenya....kufanya shoo bab kubwa ya tamasha la Safaricom Live.

Kama kawaida yake, staa huyu atatarajiwa kupiga shoo na kufanya ngololo remix aka skelewu.

Picha zinazotufikia muda huu katika blog yetu ya bkuHABARI inaonyesha matukio yote yalivyokuwa katika safari yake kutoka Dar hadi Nairobi, jiji linalosemekana liko chini ya jua.

Picha hizi zinaonyesha matokeo yote ya Diamond plus Crew yake yote wakiwa wameabiri ndege ya Kenya Airways.

Duh! Platinumz ataweza kweli kuikwepa mishiko ya mamanzi wa Nai?!? Lazima atobokwe mihela sababu wadada wa Nai wanaijua hio gemu nomaa

Picha hapo chini:







Diamond Platinumz: Dar Mpaka Kenya (PICHA) Diamond Platinumz: Dar Mpaka Kenya (PICHA) Reviewed by Admin on Friday, January 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.