Unordered List

Definition List

MZUNGU AZUZULIWA NA SNURA, ATAMANI KUFUNDISHWA KUPIGA MAUNO


SNURA amebarikiwa na mwili wa kuhangaisha, kuanzia kwa wanaume hadi kwa sasa wanawake.

Snura ni msanii anayejulikana kwa kuwa na kipawa cha kukata mauno. Baadhi yake ni kipawa cha kupagawisha shoo nzima.
Snura, Joan na Dansa wake #team majanga


Mzungu flani anayejulikana kwa jina Joan kutoka nchi ya Ujerumani ni mmoja wa wanadada ambao ametamani kufundishwa kusakata mauno kama vile Snura anavyofanya. Kwa miezi mitatu sasa amekuwa akifuatilia matukio yote ya Snura na ametamani kazi yake kiasi cha kuwa sasa anatamani kumchukua Snura asafiri naye ili aweze kumfundisha kudengua mauno huko ujerumani.

Snura, Joan, na manager wake

MZUNGU AZUZULIWA NA SNURA, ATAMANI KUFUNDISHWA KUPIGA MAUNO MZUNGU AZUZULIWA NA SNURA, ATAMANI KUFUNDISHWA KUPIGA MAUNO Reviewed by Admin on Thursday, January 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.