Unordered List

Definition List

Kim Kardashian, Kanye West, Video Ya Mwaka: Wamefanya Mangapi?!?



Mwaka wa 2013 ulikuwa mrefu kwa Kanye na Kim Kardashian ikizingatiwa matukio kadhaa ikiwemo Kanye kumchumbia Kim, Kim kupata mtoto mpya, sehemu yao ya harusi kujulikana, Kanye akihusushwa na mambo mengi yasiyo ya kawaida....

Kiufupi wawili hawa waligonga vichwa vya habari kila wakati.

Katika video hii, kwa jina Kimye Love imeeleza mengi huku nyimbo ya Rihanna 'Stay' na nyimbo ya 'Knock You Down' ikiimbwa kichinichini.

Hebu cheki video hii ikionyesha wawili hawa wakieleza matukio yote ya kimapenzi ya mwaka 2013 na pia ile proposal Kanye aliyomfanyia Kim.


Kim Kardashian and Kanye West: Year in Review
Kim Kardashian, Kanye West, Video Ya Mwaka: Wamefanya Mangapi?!? Kim Kardashian, Kanye West, Video Ya Mwaka: Wamefanya Mangapi?!? Reviewed by Admin on Wednesday, January 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.