Unordered List

Definition List

DIAMOND: UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU NA MOVIE YAO MPYA YA 2014

Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014.
Kwenye show ya Xmas Diamond alifanya show yake kwa ajili ya watoto Leaders Dar es salaam ambapo baadae vyombo vya habari vilimkariri akitangaza kwamba Wema Sepetu ndio mpenzi wake wa sasa.

Kwenye XXL Diamond amekwepa kulijibu hilo swali ila akamzungumzia Wema na uwepo wake pamoja na movie yake ambayo wamecheza pamoja na inatarajiwa kutoka mwaka huuhuu wa 2014.

Maelezo zaidi kuhusu alichosema yako kwenye hii video ya dakika tatu hapa chini. VIDEO HII HAPA CHINI:


DIAMOND: UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU NA MOVIE YAO MPYA YA 2014 DIAMOND: UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU NA MOVIE YAO MPYA YA 2014 Reviewed by Admin on Wednesday, January 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.