Unordered List

Definition List

Emma Thompson Ajiingiza Kwa Nguvu Kupiga Picha Na Lupita Nyong'o (Photobomb)

Staa wa zamani Emma Thomson hakupata nafasi za kuchakuliwa kuwania tuzo lolote lakini hilo halijamzuia yeye kuonekana mara kadhaa katika awards zinazoendelea.

Ameonekana akiwa mlevi na mcheshi wakati wa Golden Globes, akirusha viatu vyake na kufanya mambo yasiyo ya kawaida.

Na usiku wa Jumamosi, staa huyu wa Saving Mr. Banks alionekana aki'photobomb' katika SAG Awards, staa wa Hollywood Lupita Nyong'o ambaye mizizi yake ni mkenya.

Cheki hio picha hapo chini.

Imetokelezea!!!
Emma Thompson Ajiingiza Kwa Nguvu Kupiga Picha Na Lupita Nyong'o (Photobomb) Emma Thompson Ajiingiza Kwa Nguvu Kupiga Picha Na Lupita Nyong'o (Photobomb) Reviewed by Admin on Tuesday, January 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.