Unordered List

Definition List

Nori West Ashikilia Pete Ya Kim Kardashian Ya Diamond

Kim ametupa picha ya mtoto wake akiwa ameshikilia pete yake aliyopewa na Kanye West wakati alipokuwa akichumbiwa.

Pete hio aina ya Lorraine Schwartz iliyoundwa kwa diamond yenye uzani wa gram 3 aliishikilia Nori huku Kim akiandika maneno haya:
"It was an amazing year!!!"

Picha hio aliiweka kwa mtandao wake wa Instagram wakati wa kuzindua mwaka mpya wa 2014.

Kim Kardashian akionyesha pete yake aliyopewa na Kanye




Nori West Ashikilia Pete Ya Kim Kardashian Ya Diamond Nori West Ashikilia Pete Ya Kim Kardashian Ya Diamond Reviewed by Admin on Thursday, January 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.