Unordered List

Definition List

PICHA YA WIKI: WEMA SEPETU NA ROMY JONES WAKIPIGA MTAA

owk! anga si mbaya wiki hii kwa wawili hawa...Wema Sepetu amenaswa na mapaparazi akitembea na shemeji yake Romy Jones.

Wawili hawa walikuwa katika harakati za kuingia shopping kufanya mambo yao. Diamond ameangukia kiukweli.

Psss! cheki mtindo wa nguo walizovalia halafu tazama ngozi ya Wema Sepetu, imebadilika?

PICHA YA WIKI: WEMA SEPETU NA ROMY JONES WAKIPIGA MTAA PICHA YA WIKI: WEMA SEPETU NA ROMY JONES WAKIPIGA MTAA Reviewed by Admin on Wednesday, January 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.