Unordered List

Definition List

Picha Mpya Za North West Kutoka Ellen

Si rahisi kwa mastaa kuweka picha za watoto wao kwa mitandao kila wakati lakini reality star huyu Kim Kardashian amekuwa akiweka picha za mtoto wake kila akipata nafasi.

Picha hizi mpya Kim aliziweka wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha ellen, wakati huu alimuweka Kanye West mbali huku wakipiga mahisabu jinsi watavyoukwepa mkono wa sheria wakati Kanye anapokabiliwa na tetesi kuwa kesi yake inaweza kuwa ngumu baada ya kumpiga kijana  wa miaka 19 alipomtukana Kim.

Kando na skendo zinazoikumba familia ya Kimye, hebu cheki picha mbili za Nori akiwa na tabasamu.


http://images.thehollywoodgossip.com/iu/t_full/v1389959724/north-west-on-ellen.jpg

http://images.thehollywoodgossip.com/iu/t_full/v1389959794/new-north-west-picture.jpg
Picha Mpya Za North West Kutoka Ellen Picha Mpya Za North West Kutoka Ellen Reviewed by Admin on Friday, January 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.