Unordered List

Definition List

KIM KARDASHIAN AKIWA MIAKA 13 (PICHA)

Kim Kardashian ni staa ambaye ana mwili wa kuvutia, na kila mtu atakubaliana na mimi hapa.

Siku ya jana Alhamisi, Kim aliweza kuweka picha yake wakati alipokuwa shule ya upili na mwenzake Nicole Richie.

Picha hii ya 'throughback thursday', Kim aliirusha kwa mtandao wa Instagram huku ikifuatiliwa na maandishi haya:
oh so cool

Picha hii haitakuwa na tetesi kama ile ya awali Kim aliyopiga na Chyna ambayo walionyesha makalio na matiti yao. Tetesi ziliibuka kuwa picha hio imekuwa edited na si original.

Kim aliweza kupinga madai hayo. Huh! hebu angalia picha ya Kim hapo juu, nani angedhania msichana huyu angefikia kiwango cha kuonyesha maungo ya mwili wake ili kupata umaarufu.

Na pia video yake ya ngono na Ray J ndio ilimpa umaarufu zaidi.
KIM KARDASHIAN AKIWA MIAKA 13 (PICHA) KIM KARDASHIAN AKIWA MIAKA 13 (PICHA) Reviewed by Admin on Friday, January 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.