Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Na Bikini Nyeupe Akiinjoy Honeymoon Yake Na Kanye West

Kim Kardashian kwa mara nyingine amelionyesha umbo lake baada ya harusi na ameonekana kuwa katika shepu zaidi kuliko mwanzoni.

Kim mwezi jana kabla harusi yake alikuwa katika mazoezi ya kuweka shepu yake sawa kwa ajili ya harusi na Kanye.

Picha hizi ziliweza kupigwa nchini Mexico katika villa iliyopo Punta Mita ambayo inamilikiwa na marafiki zake Girls Gone Wild.

(Kwa madada) So itakuwaje hadi Kim kuwa na shepu ya kiajabu kama hii.?

Well hilo swali rahisi;
Kwanza ni kuwa Kim Kardashian hatumii makalio ya mchina, yake ni natural.
Pili ni kuwa Kim Kardashian anajiamini, hata kama anaambiwa makalio yake huwa makubwa kila siku.
Tatu ni kuwa Kim anautumia mwili wake ipasavyo...hana tym ya kurusha picha za mitego kila wakati. Picha zake ni official za kuuonyesha mwili wake kama model hata kama yuko nusu uchi (imekuwa vigumu kuuona uchi wa Kim baada ya video yake ya ngono na Ray J)
Nne ni kuwa Kim anafanya mazoezi kila wakati, hana nafasi ya kuuachilia mwili wake kujaa mafuta
Tano ni kuwa staa huyu wa Keeping Up With The Kardashian anatumia mfumo wa chakula wa Atkins Diet ambao humfanya yeye kuwa na shepu inayofanya madada zetu kuulilia.

Zaidi ya hapo anajua mwenyewe...so kwa madada zetu wanaotaka shepu ya Kim vigezo ndivyo hivyo.

Tukiongea shepu, hebu zicheki picha zenyewe latest za Kim Kardshian akijituliza kando na swimming pool akiwa honeymoon na Kanye.













Kabla hujachomoka cheki picha 21 za Kim Kardashian akiwa na bikini
Kim Kardashian Na Bikini Nyeupe Akiinjoy Honeymoon Yake Na Kanye West Kim Kardashian Na Bikini Nyeupe Akiinjoy Honeymoon Yake Na Kanye West Reviewed by Admin on Friday, June 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.