Unordered List

Definition List

Corazon Kwamboko Atishia Kuhamia Nchini Tanzania, Wanawake Wa Kenya Wanamponda Kwa Wivu

Corazon Kwamboko dada ambaye anaongoza himaya ya kuwa n umbo tata anatishia kuhamia nchini Bongo iwapo wakenya hawatoacha kumwonea wivu kwa kuwa amebarikiwa.

Corazon, ambaye amemaliza chuo kikuu cha UoN akiwa na shahada ya wakili amesema amechoshwa na tabia za umbea na kusimanga kutoka kwa wanawake wa Kenya kwa mitandao ya kijamii.

Anadai kuwa Bongo ni nchi ambayo ushirikiano wa mashabiki kwa mastaa wao uko juu na anataka wakenya wafuate mwongozo wa Tanzania.

Haya ni baadhi ya maneno aliyoongea “Kenyan women will die because of Jealousy. Why can’t you support your own instead of hating? I am thinking of re-locating to Tanzania as they support their own.”
Corazon Kwamboko Atishia Kuhamia Nchini Tanzania, Wanawake Wa Kenya Wanamponda Kwa Wivu Corazon Kwamboko Atishia Kuhamia Nchini Tanzania, Wanawake Wa Kenya Wanamponda Kwa Wivu Reviewed by Admin on Thursday, June 19, 2014 Rating: 5

1 comment:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.