Unordered List

Definition List

Kylie Jenner, Mdogoe Kim Kardashian Aonyesha Shepu Yake Kwa Bikini

Staa wa Keeping Up With The Kardashian Kylie Jenner kama nduguye wa kike Kim Kardashian ni dada ambaye ameanza kujikita katika sekta ya kupiga picha za mitego kila kukicha katika mitandao ya kijamii.

Katika picha hii alioipiga akiwa amevalia bikini ameuziba uso wake na kuweka maneno haya:
"tan twime"
Kylie Jenner Bikini Body

Hata asikutishe manake bado mtoto wa miaka 16
Kylie Jenner, Mdogoe Kim Kardashian Aonyesha Shepu Yake Kwa Bikini Kylie Jenner, Mdogoe Kim Kardashian Aonyesha Shepu Yake Kwa Bikini Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.